Ubakaji 5,899, mimba kwa wanafunzi 1,677 na ulawiti 1,114 kwa watoto.

Kampeni ya kitaifa ya kuhamasisha wananchi wote kuungana kupinga vitendo vya ukatili wa aina zote kwenye jamii ijulikanayo Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA), imezinduliwa rasmi katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika mkoani Dodoma. Akizindua Kampeni hiyo Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum mhe. Dkt. Dorothy Gwajima